• 0

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amezitaka Kamati za Ulinzi wa Wanawake na Watoto zinazotekeleza Mpango Kazi wa Taifa wa kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA) kuweka mikakati ya kupambana na vitendo vya ukatili vinavyotokea nchini. Akifungua kikao na Kamati ya utekelezaji wa MTAKUWWA mkoa wa

    READ MORE
  • Serikali itaendelea kuajiri watumishi wa afya.

    Serikali itaendelea kuajiri watumishi wa afya.0

    Serikali inaendelea kuboresha upatikanaji wa watumishi wa kada za Afya katika Vituo vya kutolea huduma za Afya ili kuendana na upanuzi wa miundombinu ya Afya ya Msingi nchini. Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Festo Dugange amesema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Nyangw’ale

    READ MORE
  • Muonekano wa hospitali ya wilaya ya Babati.

    Muonekano wa hospitali ya wilaya ya Babati.0

    Muonekano wa hospitali ya wilaya ya Babati ambayo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua maendeleo ya ujenzi wake leo Januari 25, 2022.Mpaka sasa mradi huo umegharimu kiasi cha Shilingi bilioni 1.4 ikiwa ni fedha kutoka Serikali kuu, mchango wa Halmashauri na wananchi wa kata ya Mwada.

    READ MORE
Translate »