Muonekano wa hospitali ya wilaya ya Babati ambayo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua maendeleo ya ujenzi wake leo Januari 25, 2022.Mpaka sasa mradi huo umegharimu kiasi cha Shilingi bilioni 1.4 ikiwa ni fedha kutoka Serikali kuu, mchango wa Halmashauri na wananchi wa kata ya Mwada.

Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *