Na. Catherine Sungura, WAF-Tabora TABORA YAPOKEA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 21 NDANI YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA Awamu ya sita chini ya Uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan , Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwa Mkoa wa Tabora. Hayo yamesemwa leo na Katibu Tawala wa Mkoa
READ MORENa Mwandishi Wetu Dodoma Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akutana na kufanya mazungumzo na Menejimenti ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Machi 10, 2023 katika ukumbi wa mikutano Ofisi hiyo Jijini Dodoma. Lengo la kikao hicho ni kumpitisha Katibu Mkuu huyo kuhusu Muundo na utendaji wa
READ MORENa WAF- DSM Serikali ya Tanzania na Banki kuu ya Dunia zimesaini mkopo nafuu utaosaidia kuboresha huduma za afya kwa wananchi wa Tanzania ikiwemo kupunguza vifo vya mama na mtoto, kuboresha huduma za dharura, kuboresha rasilimali watu katika Sekta ya afya, kuboresha utendaji na ufanisi kwenye ngazi ya zahanati.Hafla hiyo fupi imeongozwa na Waziri wa
READ MORENa Barnabas Kisengi Dodoma Maelfu ya wananchi wa Jimbo la Dodoma Mjini wamemshukuru Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde kwa kushirikiana na Lions Mzizima na Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuwapatia huduma bure ya matibabu ya macho. Wananchi hao wengi wao wakiwa ni wazee wameshukuru kwa huduma hii kwa kuwa wengi wao
READ MORE