• RAIS DK.MWINYI AMEKUTANA NA MTENDAJI MKUU WA MAKUMBUSHO YA OMAN.

    RAIS DK.MWINYI AMEKUTANA NA MTENDAJI MKUU WA MAKUMBUSHO YA OMAN.0

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mtendaji Mkuu wa Makumbusho ya Taifa ya Oman Jamal al-Moosawi na ujumbe wake Ikulu Zanzibar leo tarehe 10 Oktoba 2023. Rais Dk.Mwinyi amemkaribisha Jamal al-Moosawi Zanzibar kwa fursa za kuendeleza ushirikiano katika nyanja tofauti za kihistoria, uhifadhi wa mali kale na

    READ MORE
  • Tanzania imefanikiwa kudhibiti vitendo vya ukeketaji kwa watoto wa kike.

    Tanzania imefanikiwa kudhibiti vitendo vya ukeketaji kwa watoto wa kike.0

    Tanzania imefanikiwa kudhibiti vitendo vya ukeketaji kwa watoto wa kike 245 kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya kwa mkoa wa Mara katika msimu wa ukeketaji mwaka jana.  Hayo yamebainishwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima wakati wa mdahalo kuhusu jitihada zinazofanywa na nchi wanachama wa Umoja

    READ MORE
  • Unganisheni Nguvu Mshinde Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.

    Unganisheni Nguvu Mshinde Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.0

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Hemed Suleiman Abdulla amewataka Viongozi na wanachama wa CCM Mkoa wa Tanga kuunganisha nguvu zao na kuwa na lengo moja la kushinda kwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika 2024. Akiwa katika muendelezo wa ziara yake ya kukiimarisha Chama Cha Mapinduzi Wilaya

    READ MORE
Translate »