MAMA MARIAM MWINYI AMESEMA ZMBF IMEWAWEZESHA WANAWAKE ZANZIBAR.

MAMA MARIAM MWINYI AMESEMA ZMBF IMEWAWEZESHA WANAWAKE ZANZIBAR.

Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi amesema Taasisi ya ZMBF imefanikisha kuwawezesha Wanawake wakulima wa mwani zaidi ya 350 kwa kuwapa mikopo waweze kukuza biashara zao, elimu ya fedha ,ujasiriamali ,uandaaji wa chapa na kutafuta masoko ya bidhaa

Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi amesema Taasisi ya ZMBF imefanikisha kuwawezesha Wanawake wakulima wa mwani zaidi ya 350 kwa kuwapa mikopo waweze kukuza biashara zao, elimu ya fedha ,ujasiriamali ,uandaaji wa chapa na kutafuta masoko ya bidhaa hizo .

Pia jitihada hizo sanjari na kuwezesha Wanawake hao kwa kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya ya uzazi

Mama Mariam Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 10 Oktoba 2023 akiwasilisha uzoefu na mafanikio ya Zanzibar Maisha Bora Foundation(ZMBF) kutekeleza afya za lishe,afya ya uzazi katika siku ya pili ya Jukwaa la Wanawake Viongozi Bujumbura Burundi.

Mama Mariam Mwinyi amesema taifa lenye watu wenye afya njema ndio taifa lenye kupata maendeleo endelevu.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »