• Rais Samia akiongoza Kikao cha Watendaji wa Msajili wa Hazina Ikulu Dar es Salaam.

    Rais Samia akiongoza Kikao cha Watendaji wa Msajili wa Hazina Ikulu Dar es Salaam.0

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Watendaji wa Msajili wa Hazina Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Aprili, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Watendaji wa Msajili wa Hazina Ikulu Jijini Dar es Salaam tareheREAD MORE
  • RAIS MWINYI AHIMIZA  WENYE UWEZO KUTOA  SADAKA YA FUTARI KWA WENYE UHITAJI

    RAIS MWINYI AHIMIZA WENYE UWEZO KUTOA SADAKA YA FUTARI KWA WENYE UHITAJI0

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameitaka jamii kwa kila mwenye uwezo kuendeleakuwasaidia wenye uhitaji ili kupata fadhila za mwezi huu mtukufu waRamadhani. Al- hajj Dk. Mwinyi aliyasema hayo wakati akizungumza na wananchi waliokwenye makundi maalumu wakiwemo wazee, wajane, watoto yatima na wenyeulemavu huko viwanja wa Mapinduzi

    READ MORE
  • WAZIRI MKUU: SHERIA ZA TANZANIA ZINAKATAZA VITENDO VYA ULAWITI

    WAZIRI MKUU: SHERIA ZA TANZANIA ZINAKATAZA VITENDO VYA ULAWITI0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema sheria za Tanzania zinakataza bayana vitendo vinavyokinzana na tamaduni, mila na desturi na zimeweka adhabu mbalimbali kwa makosa ya namna hiyo na yale ya udhalilishaji kwa watoto ikiwemo ulawiti. “Ninapenda kuliarifu Bunge lako kuwa sheria zetu hapa nchini, zinakataza bayana vitendo hivyo na zimeweka adhabu mbalimbali kwa makosa ya namna hiyo

    READ MORE
  • DINI INA MCHANGO MKUBWA WA KUJENGA MAADILI KWENYE TAIFA.

    DINI INA MCHANGO MKUBWA WA KUJENGA MAADILI KWENYE TAIFA.0

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua msikiti wa ‘Masjid Ali Bin Saif’ kabla ya kuuzindua, msikiti ambao umejengwa na familia ya Sheikh Seif Ali Seif, maeneo ya Vingunguti jijini Dar es Salaam Aprili 14, 2023. Sheikh Nassor na Sheikh Seif wamejenga msikiti huo wenye hadhi kubwa kwa niaba ya Baba yao ambaye ameshatangulia mbele ya haki. – Advertisement – Waziri Mkuu

    READ MORE
  • RAIS DK.MWINYI AMEKUTANA NA BALOZI WA UBELGIJI

    RAIS DK.MWINYI AMEKUTANA NA BALOZI WA UBELGIJI0

    Zanzibar,06 Aprili, 2023SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imejikiza zaidi kwenyeteknolojia ya kisasa ili kuboresha sekta ya utalii kwa kuimarishamiundominu ya kisasa ya utoaji huduma bora kupitia viwanja vya ndege vyaZanzibar ili kuwavutia watalii wengi zaidi kutoka mataifa mbambali ya duniawanaoitembelea Zanzibar ili wakirudi kwao wawe mabalozi wazuriwakusimulia mazuri yanayopatikana kwenye visiwa vya Unguja na

    READ MORE
  • Serikali inaunga mkono jitihada za sekta binafsi za kukuza maendeleo.

    Serikali inaunga mkono jitihada za sekta binafsi za kukuza maendeleo.0

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuunga mkono jitihada zinazochukuliwa na sekta binafsi katika kuwaunganisha na kuwaletea maendeleo wazanzibari.Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi Mhe Hamza Hassan Juma kwa niaba ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla katika hafla ya 

    READ MORE
Translate »