RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Polisi Mkoani Pwani wanawashikilia Watu wanne waliokamatwa ndani ya Mkoa huo wakituhumiwa kutumia mitandao ya kijamii kueneza uvumi wa vifo vya Watu wakidai wamekufa kwa Corona na kutia hofu Wanachi. Watuhumiwa hao ni Frank Nyange (47), Mozes Mgao (34) Mohamedi Lutambi (47) na Bumija Senkondo (55). “Watuhumiwa hawa wanne tuliowakamata na wengine ambao tunaendelea kuwatafuta
READ MORENa Faraja Mpina, WMTHWizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imewakutanisha wadau mbalimbali wa Anwani za Makazi na Postikodi ili waweze kutoa maoni kuhusu ujenzi wa Programu Rununu ya Anwani za Makazi na Postikodi (National Adddressing and Postcode mobile Application-NAPA) unaoendelea kufanyika Mkoani Morogoro na timu ya wataalamu wa TEHAMA kutoka katika Wizara na taasisi
READ MORENa Barnabas kisengi Dodoma February 22 2021 Wakazi zaidi ya elfu 3000 wa mtaa wa chinyoya Kata ya kilimani jijini Dodoma wako hatarini kubaki kuwa kisiwa kutokana na kuharibika vibaya kwa barabara za mtaa huo jambo ambalo hupelekea kushindwa kupitika kwa magari na hata watembea kwa miguu huku wakiwa na wagonjwa kunawapa adha kubwa ya kuweza
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki katika Ibada ya Dominika ya Kwanza ya Kwaresima katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili Februari 21, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na waumini katika Ibada ya Dominika
READ MORELigi kuu tanzania bara inatarajia kuendelea leo kwa michezo miwili itakayopigwa katika viwanja viwili tofauti Waoka mikate wa jiji la Dar es salaam Azam fc wanataraji kuingia uwanjani kumenyana dhidi ya wajelajela Tanzania Prisons, mchezo ambao utapigwa katika uwanja wa Azam Complex Chamazi nje kidogo na jiji hilo mechi itaanza majira ya saa moja usiku
READ MORENa Barnabas kisengi loliondoFebruary 21 2021 Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda leo ametembelea eneo la Longido ambayo yamevamiwa na nzige na kuwa kuanzia kesho ndege maalum itafanya kazi kupulizia viuatilifu kuua nzige hao. Prof. Mkenda amesema wananchi wasiwe na hofu nzige wote watadhibitiwa kupitia wataalam wa Wizara ya Kilimo waliopo kwenye maeneo yote yenye
READ MORE