• Yaliyojiri wakati Rais John Magufuli akizindua Soko kuu mkoani Morogoro lijulikanolo kwa jina la Soko la Chifu Kingalu

    Yaliyojiri wakati Rais John Magufuli akizindua Soko kuu mkoani Morogoro lijulikanolo kwa jina la Soko la Chifu Kingalu0

    Aliyoyasema Rais wa Jamhuri ya Muungan wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Nimefurahi sana kufika Morogoro, nawashukuru kwa ushujaa mkubwa mlioufanya Morogoro. Ilikuwa nipitilize lakini leo nalala hapa ili nijue matatizo yote ya hapa Morogoro.Soko Kuu la Morogoro ni sehemu ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa masoko 22, stendi za mabasi, stendi za malori,

    READ MORE
  • Kamonga: Wafugaji na Wakulima wamekuwa na tabia ya kuhama hama.

    Kamonga: Wafugaji na Wakulima wamekuwa na tabia ya kuhama hama.0

    Na Barnabas kisengi Mpwapwa February 10  2021 Tatizo la shule za msingi za mikondo zinazoanzishwa ujenzi na wananchi katika wilaya ya mpwapwa mkoani Dodoma kwa kutoendelea na ujenzi wa vyumba vingine vya madarasa limekuwa sugu hasa katika shule hizo ambazo zinakuwa zimesajiliwa na kuipelekea serikali mzigo mkubwa wa kuendelea na ujenzi wavyumba vya madarasa katika shule

    READ MORE
  • WAZIRI MKUU: WATUMISHI WA UMMA MSIKATE TAMAA

    WAZIRI MKUU: WATUMISHI WA UMMA MSIKATE TAMAA0

    11 Februari, 2021 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU: WATUMISHI WA UMMA MSIKATE TAMAA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma wasikate tamaa kwa vile mishahara mipya haijatangazwa na badala yake amewasihi waendelee kuchapa kazi kwani maslahi yao yanaendelea kuboreshwa. “Nitoe wito kwa watumishi wa umma, wasikate tamaa kwa sababu mishahara mipya haijatangazwa,

    READ MORE
  • SI KILA BAYA UNALOTENDWA NI SHETANI

    SI KILA BAYA UNALOTENDWA NI SHETANI0

    • Dini
    • February 11, 2021

    Bwana Yesu Kristo asifiwe Wana wa Mungu aliyehai ❗ Ni siku nyingine Tena Mungu ameachilia neema yake kwetu tu wazima na wenye pumzi. Leo Mungu anasema na kanisa lake ili uvuke ulipo kwama lakini pia upate Amani ndani ya moyo wako katikati ya mapito yako. Haijalishi Ni Nani anaye/aliyekutenda lakini Jambo la msingi ujue si

    READ MORE
  • OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAWAPA SEMINA WABUNGE.

    OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAWAPA SEMINA WABUNGE.0

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu amesema changamoto za uharibifu wa mazingira hazitambui mipaka ya kijiografia, kiutawala, mifumo ikolojia, bioanuai na rasilimali nyingine za mazingira zinavuka mipaka ya nchi moja hadi nyingine. Waziri Ummy ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati Ofisi yake ikitoa Semina kwa Wabunge wa Kamati

    READ MORE
  • Wizara ya kilimo imeanza mkakati wa kukuza tija katika kilimo hapa nchini

    Wizara ya kilimo imeanza mkakati wa kukuza tija katika kilimo hapa nchini0

    Na Barnabas kisengi Dodoma February  11 2021 Wizara ya Kilimo imesema iko katika utekelezaji wa mikakati ya kuongeza tija na kuhakikisha wakulima wananufaika na shughuli za kilimo ikiwemo uhakika wa masoko ya mazao. Prof. Mkenda amesema kwa sasa bado kilimo kinachangia chini ya asilimia 30 kwenye pato la Taifa wakati ikiwa imeajili zaidi ya asilimia 70

    READ MORE
Translate »