RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amewaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria aliowateua hivi karibuni. Walioapishwa kuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar ni Ibrahim Mzee Ibrahim na Haji Omar Haji. Kwa upande wa Mwenyekiti wa Tume ya
READ MOREUsafi wa mitaro ni jukumu la kila mwanchi katika eneo lake tusisubiri Serikali ije ikufanyie usafi kwakuwa Serikali imekwisha timiza wajibu wake wa kujenga mitaro ila kuitunza ni jukumu letu wenywewe Kama unavyoona baadhi ya mitaro haifanyiwi usafi kama ilivyonaswa na camera ya Jfive Online Blog katika mtaa wa Image jijini Dodoma hivi karibuni. Na
READ MOREMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge leo February 08 ametembelewa ofisini kwake na Kamishina wa Uhamihaji Tanzania CGD Dkt. Anna Makakala ambapo wamefanya mazungumzo mbalimbali hususani Kuimarisha utendaji Katika masuala ya Uhamihaji.
READ MOREJESHI LA POLISI MKOANI KIGOMA KWA KUSHIRIKIANA NA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAPORI(TAWA)MKOANI WAMEFANIKIWA KUKAMATA BUNDUKI 268 MIONGONI MWAKE ZIKIWEMO SILAHA ZA KIVITA ZINAZODAIWA KUTUMIKA KATIKA MATUKIO MBALIMBALI YA KIHALIFU MKOANI KIGOMA KWA KIPINDI CHA MIAKA KUMI IKIWEMO UTEKAJI WA MAGARI. ILI KUPATA HABARI KWA HARAKA, SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA JFIVE TV ONLINE KWA KUBONYEZA
READ MOREWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewaagiza Wenyeviti wa Mabaraza ya ardhi na Nyumba ya wilaya kutumia lugha ya Kiswahili katika kuandika hukumu.Lukuvi alitoa maagizo hayo jijini Dodoma alipozungumza na Wenyeviti pamoja na Wasajili wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya kwa nchi nzima kupitia Video (Video conference).‘’Nasisitiza wenyeviti wa
READ MOREMsomaji, wa jfive karibu uyatazame magazeti ya leo ya tarehe 08/02/2021.
READ MORE