Thamani ya vikosi vya timu 8 zilizofuzu robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
- Uncategorized
- April 14, 2021
WAKALA wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzobar imetiliana saini hati ya makubaliano na Taasisi ya Zanzibar Maisha bora Fondation (ZMBF) kwa lengo la kushirikiana na kinamama na vijana katika kilimo cha mwani. Hafla ya utiaji saini imefanyika katika ofisini za Taasisi ya Zanzibar maisha bora Foundation Migombani na kushuhudiwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi
READ MORETunamshukuru Kocha wa magolikipa Milton kwa mchango wake katika kipindi chote alichofanya kazi kwenye benchi la ufundi la Klabu yetu na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC. Awali Yanga ilimalizana na kocha wake Nasreddine Nabi.
READ MOREJamii imeaswa kuwa na desturi ya kutoa taarifa mapema pindi panapotokea dalili za ugonjwa wowote ili kuokoa Maisha . Wito huo umetolewa na mwakilishi kutoka Wizara ya Afya, Elimu ya Afya kwa Umma Beauty Mwambebule baada ya kutembelea Kijiji cha Kige,kitongoji cha Kiala Wilayani Muleba Mkoani Kagera kuifariji familia ya Sifa Hamada iliyokumbwa na msiba
READ MORE