Asante Sana Milton Nienov Kocha wa Magoli.

Asante Sana Milton Nienov Kocha wa Magoli.

Tunamshukuru Kocha wa magolikipa Milton kwa mchango wake katika kipindi chote alichofanya kazi kwenye benchi la ufundi la Klabu yetu na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC. Awali Yanga ilimalizana na kocha wake Nasreddine Nabi.

Tunamshukuru Kocha wa magolikipa Milton kwa mchango wake katika kipindi chote alichofanya kazi kwenye benchi la ufundi la Klabu yetu na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC.

Awali Yanga ilimalizana na kocha wake Nasreddine Nabi.

Inaweza kuwa picha ya maandishi
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »