Thamani ya vikosi vya timu 8 zilizofuzu robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
- Uncategorized
- April 14, 2021
Jamii imeaswa kuwa na desturi ya kutoa taarifa mapema pindi panapotokea dalili za ugonjwa wowote ili kuokoa Maisha . Wito huo umetolewa na mwakilishi kutoka Wizara ya Afya, Elimu ya Afya kwa Umma Beauty Mwambebule baada ya kutembelea Kijiji cha Kige,kitongoji cha Kiala Wilayani Muleba Mkoani Kagera kuifariji familia ya Sifa Hamada iliyokumbwa na msiba
READ MORENa Moreen Rojas Dodoma Mamlaka ya afya ya mimea na viatilifu Tanzania TPHPA imefanikiwa kudhibiti ndege aina ya kweleakwelea milioni 227.4 na kufanikiwa kuokoa Tani 1056.3 za mazao ya nafaka.Prof.Joseph Ndunguru amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma kueleza utekelezaji wa majukumu ya mimea na viatilifu nchini Tanzania. Aidha Prof Joseph amesema
READ MOREWaziri wa Maji Jumaa Aweso, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Anthony Sanga pamoja na ujumbe wa Wizara ya Maji wameshiriki Mkutano maalum unaohusiana na Maswala ya Huduma ya Maji Duniani World Water-Tech Innovation Summit (WWIS) 2023 London unaoratibiwa na serikali ya Uingereza. Akizungumza katika mkutano Waziri Aweso ametoa wito kwa wadau wa sekta
READ MOREKatibu Mtendaji wa tume ya vyuo vikuu nchini Prof.Charles Kihampa amesema kuwa tume ya vyuo vikuu Tanzania imeendelea kuimarisha mifumo yake ya uthibiti ubora na mifumo ya ndani ya vyuo vikuu ili kuhakikisha vyuo vikuu vinaendana na mwelekeo wa serikali.Prof.Kihampa amesema hayo Februari 22,2023 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa
READ MORE