- Afya, Habari, Kitaifa
- October 15, 2021
IKIWA leo Dunia inaadhimisha siku ya kunawa mikono Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto imetoa wito kwa wadau wote wa masuala ya afya mazingira na usafi kote nchini, kushirikiana na serikali katika kutoa elimu na kuhamasisha mabadiliko ya tabia kuhusu unawaji mikono. Wito huo umetolewa hii leo Jijini Dodoma na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Kinga
READ MORE- Habari, Kitaifa
- October 15, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi katika eneo la Sanya Juu mara baada yakufungua rasmi sehemu ya barabara ya Bomang’ombe-Sanya Juu – Kamwanga ambapo sehemu iliyofunguliwa ni ya Sanya Juu- Selerai yenye kilomita 32.2 iliyojengwa kwa kiwango cha lami. Ufunguzi huo umefanyia leo Oktoba 15, 2021 eneo la
READ MORE- Habari, Kitaifa
- October 15, 2021
Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi alihudhuria katika Sherehe za kilele cha Mbio Maalumu za Mwenge wa Uhuru na Kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na wiki ya Vijana zilizofanyika katika kiwanja cha Magufuli Wilaya ya Chato ambapo Burudani mbalimbali zilitumbuiza ikiwemo na Halaiki na baadae Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
READ MORE