Rais Dkt. Mwinyi amehudhuria Sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge na Kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Wilayani Chato.

Rais Dkt. Mwinyi amehudhuria Sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge na Kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Wilayani Chato.

Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi alihudhuria katika Sherehe za kilele cha Mbio Maalumu za Mwenge wa Uhuru na Kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na wiki ya Vijana zilizofanyika katika kiwanja cha Magufuli Wilaya ya Chato ambapo Burudani mbalimbali zilitumbuiza ikiwemo na Halaiki na baadae Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi alihudhuria katika Sherehe za kilele cha Mbio Maalumu za Mwenge wa Uhuru na Kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na wiki ya Vijana zilizofanyika katika kiwanja cha Magufuli Wilaya ya Chato ambapo Burudani mbalimbali zilitumbuiza ikiwemo na Halaiki na baadae Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan aliupokea Mwenge huo kutoka kwa wakimbizaji wake wa Mwaka huu  na  Kulihutubia Taifa.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »