Rais Samia amewahutubia wananchi wa Sanya Juu mara baada ya kufungua sehemu ya barabara ya Bomang’ombe-Sanya Juu – Selerai .

Rais Samia amewahutubia wananchi wa Sanya Juu mara baada ya kufungua sehemu ya barabara ya Bomang’ombe-Sanya Juu – Selerai .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi katika eneo la Sanya Juu mara baada yakufungua rasmi sehemu ya barabara ya Bomang’ombe-Sanya Juu – Kamwanga ambapo sehemu iliyofunguliwa ni ya Sanya Juu- Selerai yenye kilomita 32.2 iliyojengwa kwa kiwango cha lami. Ufunguzi huo umefanyia leo Oktoba 15, 2021 eneo la

May be an image of 1 person and sky
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi katika eneo la Sanya Juu mara baada yakufungua rasmi sehemu ya barabara ya Sanya Juu- Selerai yenye kilomita 32.2 iliyojengwa kwa kiwango cha lami leo Oktoba 15, 2021.
May be an image of 4 people, people sitting, people standing and outdoors
May be an image of 3 people, people sitting, people standing and outdoors
May be an image of 1 person, sitting and standing
May be an image of 2 people, people standing and outdoors
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akufungua rasmi sehemu ya barabara ya Sanya Juu- Selerai yenye kilomita 32.2 iliyojengwa kwa kiwango cha lami leo Oktoba 15, 2021.
May be an image of 2 people, people standing and outdoors

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi katika eneo la Sanya Juu mara baada yakufungua rasmi sehemu ya barabara ya Bomang’ombe-Sanya Juu – Kamwanga ambapo sehemu iliyofunguliwa ni ya Sanya Juu- Selerai yenye kilomita 32.2 iliyojengwa kwa kiwango cha lami. Ufunguzi huo umefanyia leo Oktoba 15, 2021 eneo la Sanya Juu.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »