Mkurugenzi wa Shirika la Abbott Fund ambao ndio wafadhili wa Ujenzi wa kituo cha Makao ya Taifa ya Mtoto, Natalia Lebou akizungumza kwenye uzinduzi huo jijini Dodoma leo. Na Barnabas Kisengi-Dodoma MAKAMU wa Rais,Dk.Philip Mpango,amezindua makao ya Taifa ya kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu huku akitoa maelekezo sita kwa Wizara ya Afya kwakushirikiana na
READ MORENa Barnabas Kisengi-Dodoma Ikiwa leo Juni 16,2021 bara la Afrika likiadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika,Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini Mwalimu Josephat Maganga amesema suala la mtoto kutokwenda shule ni uzembe wa mzazi pamoja na mlezi ,hivyo amehimiza walezi ,wazazi ,kamati za shule pamoja na jamii kwa ujumla kulipa kipaumbele suala la elimu ili mtoto aweze
READ MORENa Barnabas Kisengi-Dodoma Imeelezwa kuwa asilimia 16 ya watu wenye umri zaidi ya miaka 60 wamepata manyanyaso ya kisaikolojia, (11.6%), kiuchumi (6.8%), kutokujaliwa (4.2%),na kimwili (2.6%). Hayo yamebainishwa jijini Dodoma Juni 15,2021 na kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na utawala bora Dkt Fatma Khalfani katika Maadhimisho ya Siku ya Kupinga Ukatili dhidi ya
READ MOREMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar itaendelea kufanya mapitio na marekebisho ya sheria ya mfuko wa Hifadhi ya jamii Zanzibar (ZSSF) kwa lengo la kuzingatia maslahi ya watunishi wake. Mhe. Hemed, alieleza hayo wakati akaifungu kikao maalum cha kujadili utaratibu wa kukokotoa mafao ya watumishi
READ MOREHii leo, Juni 16 Tanzania inaungana na mataifa mengine kimataifa kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika. Siku hii ambayo chimbuko lake ni kumbukumbu ya watoto zaidi 2000 waliuawa wakati wakiandamana kupinga ubaguzi wa rangi katika mfumo wa elimu nchini Afrika Kusini mnamo mwaka 1976. Maadhimisho hayo kwa hapa nchini Tanzania yanafanyika katika ngazi ya Halmashauri
READ MORE