• IDADI YA WANAWAKE KUTELEKEZWA NA WATOTO YAONGEZEKA PWANI

    IDADI YA WANAWAKE KUTELEKEZWA NA WATOTO YAONGEZEKA PWANI0

    Mkuu wa Dawati la jinsia mkoa Pwani Inspekta Hawa Juma amesema kumekuwa na ongezeko la kutelekezwa kwa mama na mtoto katika mkoa huo. Akizungumza na J five mjini kibaha mkoani Pwani Inspekta Hawa amesema wengi wa wanawake hao wanaotekeleza ni wamama wadogo ambao hupewa ujauzito chini ya miaka 18 ambao walibakwa na bodaboda, madereva wa

    READ MORE
  • UKATILI KWA WATOTO, MIMBA ZA UTOTONI NA NDOA ZA UTOTONI KUJADILIWA

    UKATILI KWA WATOTO, MIMBA ZA UTOTONI NA NDOA ZA UTOTONI KUJADILIWA0

    Kamati za Ulinzi na Usalama ngazi ya Wilaya na timu ya Menejeimenti za Halmashauri– CMT, zimetakiwa kuwa na utamaduni wa kujadili masuala ya Ukatili kwa watoto, mimba na ndoa za utotoni ili kuongeza kasi ya kupunguza au kumaliza kabisa matukio hayo ya kikatili yanayoendelea kuongezeka ndani ya jamii. Wito huo umetolewa na Afisa Ustawi wa

    READ MORE
  • SERIKALI KUZINDUA MAKAO YA TAIFA YA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA HATARISHI

    SERIKALI KUZINDUA MAKAO YA TAIFA YA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA HATARISHI0

    Na Mwandishi Wetu-Dodoma Kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika, Serikali inatarajia kuzindua Makao ya Taifa ya Malezi na Makuzi ya Watoto yaliyojengwa katika Kata ya Kikombo, jijini Dodoma.Akizungumza Jijini Dodoma leo na Waandishi wa Habari jijini Dodoma, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto, Dkt Dorothy Gwajima  amesema Makamu wa Rais wa

    READ MORE
Translate »