Taarifa iliotolewa na kanisa lake la SCOAN siku ya Jumapili alfajiri imethibitisha kifo cha Muhubiri TB Joshua. Muhubiri huyo maarufu kutoka nchini Nigeria amefariki akiwa na umri wa miaka 57. Taarifa hiyo ilisema: Mungu amechukua maisha ya muhudumu wake TB Joshua kulingana na uwezo wake. Amefariki akimuhudumia Mungu. Taarifa hiyo imetaja sura moja katika biblia
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametuma salamu za rambirambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa watu wanne waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani iliyotokea katika kijiji cha Buyubi Mkoani Shinyanga. Ajali hiyo ambayo imehusisha basi la Kampuni ya Classic lililokuwa likitokea Kampala nchini Uganda kwenda Jijini Dar
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameitaka jamii ya Wazanzibari kuacha tabia ya ”muhali” na kuripoti matukio ya vitendo vya udhalilishaji katika vyombo vya sheria huku akilitaka jeshi la Polisi kuacha kufanya usuluhishi wa matukio hayo. Akizungumza na wananchi pamoja na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wa Mkoa
READ MOREBaadhi ya Wazazi na walezi Mkoani Rukwa wameelezwa kuchangia kuchelewesha upatikanaji wa haki kwa waathirika wa vitendo vya ukatili dhidi ya watoto kwa kushindwa kutoa au kuwazui watoto kutoa ushaidi mahakamani. Akizungumza na wadau wa Jukwaa la Haki Jinai Mkoani hapa, Katibu Mkuu Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu amewataka
READ MORENA MWANDISHI WETU- MOROGORO KATIKA hali isiyo ya kawaida mama (41) ambaye jina lake limehifadhiwa amejikuta akiwa wakati mguu baada ya kufanyiwa kitendo cha ukatili wa kijinsia kwa kubakwa na vijana 9 wanaodaiwa kuwa ni jamii ya kimasai katika kijiji cha Mtakuja kata ya dakawa wilayani Mvomero Akisimulia madhira yaliyomkuta mama huyo alisema kuwa siku ya
READ MORE