Na Barnabas Kisengi-Dodoma Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi HAMADI MASAUNI ameingoza kuagwa kwa mwili wa Marehemu Mageni Zumbi aliyekuwa Afisa Habari Daraja II katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyefariki dunia sempetemba12 , 2022 kwa ajali ya Gari katika eneo la chimala wilaya Mbarali Mkoani Mbeya. Waziri Mhandisi HAMADI MASAUNI amesema
READ MORENa WMJJWM Pwani Serikali imezindua Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi wenye lengo la kuleta ufanisi wa utekelezaji wa majukwaa haya ikiwa ni pamoja na kuyafanya yajulikane ngazi zote hapa nchini. Akizungumza katika Uzinduzi wa Mwongozo huo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia
READ MOREYawataka Wazazi na Walezi Kuwasikiliza Watoto Ndoto Zao Familia Ziepuke Migogoro Kupunguza Wimbi la Watoto wa Mitaani Na Mwandishi Wetu, WMJJWMM, Dar Es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeanza utaratibu wa kuwarejesha watoto wa mitaani kuungana na familia zao ili kupunguza wimbi la ongezeko la watoto hao kwenye maeneo ya mijini kwa
READ MOREWaziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa pole Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi kufuatia kifo cha mwanaye Hassan Ali Mwinyi mjini Zanzibar Septemba 02, 2022
READ MOREKaimu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju akifungua kikao cha wataalam wa Ustawi wa Jamii wanaopitia Rasimu ya Mwongozo wa uwiano wa kijinsia na ushirikishwaji wa Jamii kinachofanyika jijini Dodoma tarehe 1-3 Septemba, 2022. Mtaalam Mshauri wa Masuala ya kijinsia kutoka Shirika la PACT Tanzania Beatrice
READ MORENaibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju, akizungumza wakati wa ziara ya Manaibu Makatibu Wakuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kwenye Makazi ya Wazee FungaFunga yaliyopo mkoani Morogoro. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI
READ MORE