WAKULIMA MKOANI DODOMA WASHAURIWA KULIMA MAZAO YANAYOHIMILI UKAME
- Kilimo
- June 2, 2021
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Bodi ya Korosho Tanzania ihakikishe inatafuta masoko ya uhakika ya zao hilo na yatakayotoa bei nzuri na kuwanufaisha wakulima. Pia, Waziri Mkuu ameitaka bodi hiyo isimamie mwenendo wa ujenzi wa viwanda vidogo na vikubwa vya kubangulia korosho katika maeneo yote yanayolima zao hilo ili kuondokana na uuzwaji wa korosho ghafi.
READ MORENa Mwandishi Wetu-Dar es Salaam Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda amewasili nchini akitokea nchini Morocco ambapo pamoja na mambo mengine katika ziara yake hiyo aliitembelea kampuni ya uuzaji wa mbolea ya OCP ili kuendelea na mkakati wa serikali katika kuhakikisha kuwa mbolea inapatikana kwa wingi nchini. Akiwa katika ziara ya kikazi ya siku
READ MORENa Barnabas Kisengi-Dodoma Naibu katibu mkuu wizara ya kilimo Profesa Siza Tumbo imewataka wataalamu wanaofanya tathimini ya uhakika wa usalama wa chakula na lishe kufanya tathmini hizo kwa kuzingatia mazingira husika kwa kuangalia mitazamo ya ndani ya nchi badala ya kutumia mifumo ya nje ambayo wakati mwingine hukosa uhalisia wa maisha ya watanzania. Profesa
READ MORENaibu waziri wa Mifugo na Uvuvi ABDALLAH ULEGA amemwagiza Katibu Mkuu anayeshugulikia Mifugo Profesa Elisante Ole Gabriel kuhakikisha aina mpya ya malisho kutoka nchini China yanayojulikana kama Juncao yanasambazwa kuanzia ngazi ya mikoa wilaya hadi vijiji lengo likiwa kudhibiti mifugo na wafugaji kuhamahama kutafuta malisho. Hayo ameyasema wakati alipotembelea na kukagua maendeleo ya Shamba la
READ MORENa Barnabas Kisengi-Dodoma Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda (Mb) Tarehe 9 Julai 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkaazi wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) Ndg Andy Karas katika Ofisi za Wizara ya Kilimo Jijini Dodoma. Katika mazungumzo hayo Mhe Mkenda amemueleza Mkurugenzi huyo kuwa Wizara ya Kilimo imejipanga kufanya mageuzi
READ MORE