NAIBU WAZIRI ULEGA ATOA MAAGIZO KUHUSU MALISHO YA MIFUGO KUTOKA CHINA

NAIBU WAZIRI ULEGA ATOA MAAGIZO KUHUSU MALISHO YA MIFUGO KUTOKA CHINA

Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi ABDALLAH ULEGA amemwagiza Katibu Mkuu anayeshugulikia Mifugo Profesa Elisante Ole Gabriel kuhakikisha aina mpya ya malisho kutoka nchini China yanayojulikana kama Juncao yanasambazwa kuanzia ngazi ya mikoa wilaya hadi vijiji lengo likiwa kudhibiti mifugo na wafugaji kuhamahama kutafuta malisho. Hayo ameyasema wakati alipotembelea na kukagua maendeleo ya Shamba la

Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi ABDALLAH ULEGA amemwagiza Katibu Mkuu anayeshugulikia Mifugo Profesa Elisante Ole Gabriel kuhakikisha aina mpya ya malisho kutoka nchini China yanayojulikana kama Juncao yanasambazwa kuanzia ngazi ya mikoa wilaya hadi vijiji lengo likiwa kudhibiti mifugo na wafugaji kuhamahama kutafuta malisho.


Hayo ameyasema wakati alipotembelea na kukagua maendeleo ya Shamba la malisho ya mifugo lilipo Vikuge wilayani kibaha mkoani Pwani.

Na Scolastica Msewa.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »