WAKULIMA MKOANI DODOMA WASHAURIWA KULIMA MAZAO YANAYOHIMILI UKAME
- Kilimo
- June 2, 2021
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 6, 2021 amekutana na wadau wa zao la zabibu kujadili na kuweka mikakati ya pamoja ya kuliendeleza zao hilo ili liweze kuleta tija kwa wakulima, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
READ MOREWanafunzi wanaosoma chuo kikuu cha kilimo nchini China CAU wameiomba serikali ya mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na chuo hicho ambao wanatekeleza mradi wa pamoja wa kupunguza umasikini kwa wakulima wadogo kupitia kilimo cha mahindi kuangalia namna ya kuwapunguzia gharama wakulima hao ili kuendana na kipato chao Wanafunzi hao ambao wanasoma kwa njia ya mtandao
READ MORENa Barnabas Kisengi-Kibakwe. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema katika operesheni ya kuwasaka majambazi inayoendelea nchini kati ya majambazi kumi wanaokamatwa mitaani, watatu wanatoka gerezani. Amesema kuwafunga majambazi hao hakusaidii sana kwasababu wanarudi mitaani na kuendelea kufanya uhalifu wa aina mbalimbali pamoja na kuwaua watu wenye haki, hivyo watatafuta namna nyingine
READ MORENa Mwandishi wetu-Mwanza Kwa kuwa mfumo wa ununuzi wa pamoja umekuwa ukitumika kwa lengo la kupata mbolea kwa bei nafuu kutoka kwa wazalishaji na kwa kuwa mazingira ya sasa duniani yanaonesha kuwa mfumo wa ununuzi wa pamoja hauwezi kukidhi mahitaji hayo hivyo Wizara ya Kilimo imeamua kuruhusu ushindani li kila mwenye uwezo wa kuleta mbolea
READ MORENa Mwandishi wetu-Dodoma WAZIRI wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda anasema wakati akilihutubia bunge kwa mara ya kwanza Rais wa Awamu ya sita Samia Suluhu Hassan alitumia takribani asilimia 14 ya mambo yote aliyozungumza kwenye masuala ya kilimo. Hayo aliyabainisha wakati akitoa maelezo kuhusu siku 100 za Rais Samia akiwa madarakani tangu kifo cha Rais wa
READ MORE