WAKULIMA MKOANI DODOMA WASHAURIWA KULIMA MAZAO YANAYOHIMILI UKAME
- Kilimo
- June 2, 2021
Na Moreen Rojas Dodoma Jumla ya tani 8,959.023 za korosho ghafi zilibanguliwa ndani ya nchi kati ya tani 240,158.753 zilizozalishwa sawa na 3.7% na jumla ya leseni 55 za ununuzi wa korosho kwa ajili ya kusafishia nje ya nchi zilizotolewa ikiwa ni ongezeko la kampuni 5 ukilinganisha na leseni katika msimu wa 2020/2021. Fransis Afred
READ MORENa Barnabas Kisengi-Dodoma Katika swala la kuimarisha usalama wa chakula nchini serikali imezindua mradi wa miaka mitatu na miezi sita wa uboreshaji huduma za afya ya mimea Tanzania utakaogharibu kiasi cha EURO milioni 10.1. Naibu waziri wa Kilimo Antony Mavunde amesema hayo katika uzinduzi wa uboreshaji wa afya za mimea kuwa serikali kupitia Wizara ya
READ MOREÑa Barnabas Kisengi-Dodoma Mradi wa kilimo hifadhi unaotekelezwa na Taasisi ya Huduma za maendeleo ya Dayosisi ya Central Tanganyika DCT umewanufaisha Wakulima takribani 15,000 wa Wilaya za Dodoma Mjini, Bahi na Wilaya ya Chamwino zilizopo Mkoani Dodoma baada ya kuwapa mafunzo wakulima kuhusu umuhimu wa Kilimo hifadhi. Mkurugenzi wa Taasisi hiyo, Lister Nyang’anyi amesema hayo
READ MORENa Barnabas Kisengi-Dodoma Kutokana na kuwepo kwa mvua kidogo na mtawanyiko na uharibifu wa Mazingira jambo ambalo hupelekea wakulima katika Mkoa wa Dodoma kupata mazao kidogo Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT) Jijini dodoma imekuja na Mpango wa Kilimo hifadhi ili kuwanusuru wakulima wa Mkoa wa Dodoma kuweza kulima kwa kisasa na kupata mazao mengi na
READ MORENa Barnabas Kisengi Dodoma Waandishi wa Habari Mkoani Dodoma wanetembelea Banda la Dayosisi ya Tanganyika (DCT) kupatiwa elimu ya kilimo cha mazao na mbogamboga ili kuweza kupata elimu ya kilimo biashara. Akizungumza na wanahabari hao Afisa Kilimo kutoka Dayosisi ya Tanganyika (DCT) Bi SALOME KIMAMBO ameseme kilimo wanachofundisha wakulima wengi ni kilimo biashara kwakuwa unakuwa
READ MORE