WAKULIMA MKOANI DODOMA WASHAURIWA KULIMA MAZAO YANAYOHIMILI UKAME
- Kilimo
- June 2, 2021
. Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Burundi Tanzania ina uhusiano mzuri na majirani wake na katika miaka ya hivi karibuni imekuwa mshiriki kwa ukamilifu katika juhudi za kuhimiza usuluhilishi wa migogoro kwa njia ya amani. Tanzania ni mwanachama wa vikundi vya kimataifa na kikanda pia inashiriki kwa dhati katika ushirikiano wa baina ya nchi na
READ MOREWaziri wa Kilimo Mhe. Prof Adolf Mkenda tarehe 19 Octoba 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mazingira, Kilimo na Uvuvi wa Burundi Mhe. Dkt Rurema Deo-Guide katika ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mtaa wa Commune Mukaza kata ya Rohelo Mjini Bujumbura nchini Burundi akiwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili kuanzia tarehe
READ MORE