- Habari, Kimataifa
- October 11, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais wa India, Mhe. Droupadi Murmu katika Ikulu ya India tarehe 11, Oktoba 2023.
READ MORE- Habari, Kimataifa
- October 10, 2023
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi amesema Taasisi ya ZMBF imefanikisha kuwawezesha Wanawake wakulima wa mwani zaidi ya 350 kwa kuwapa mikopo waweze kukuza biashara zao, elimu ya fedha ,ujasiriamali ,uandaaji wa chapa na kutafuta masoko ya bidhaa
READ MORE- Afya, Habari, Kitaifa
- October 10, 2023
Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Afya, Dkt. Wilson Mahera Charles amemwelekeza Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kusimamia kwa karibu ujenzi wa Kituo cha Afya cha Levolosi unaogharimu Sh.Bilioni1.2 ili ukamilike kwa wakati. Dkt. Mahela ametoa maelekezo hayo jijini Arusha baada ya kutembelea kituo hicho ambacho
READ MORE