RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo
- January 14, 2022
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa itakayonyesha leo Ijumaa Januari 15, 2021 huku siku zinazofuata zikitarajiwa kuwa shwari hadi Januari 18. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo jana imesema kuwa utabiri huo wa siku tano kuanzia leo unaonyesha kuwepo kwa mvua kubwa katika baadhi
READ MOREKatibu kuu mtendaji necta Dkt. Charles Msonde,ametangaza matokeo ya Darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne leo mbele ya waandishi wa habari.
READ MOREKura zinaendelea kuhesabiwa katika vituo mbalimbali nchini Uganda baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika jana. Tume ya Uchaguzi tayari imeanza kutangaza matokeo ya awali katika vituo 300. Rais aliyeko madarakani Yoweri Museveni anayewania nafasi hiyo kwa muhula wa sita kupitia chama tawala cha NRM anaongoza kwa asilimia 61.3. Aidha, mgombea wa urais wa upinzani kwa tiketi
READ MOREJeshi la Polisi mkoa wa Tanga, linamshikilia dereva Simon Pasian Tarimo miaka 37 mkazi wa Kimara jijini Dar es salaamkwatuhuma za kusafirisha mirungi bunda 1,685 sawa na kilogramu 133, akiwa ameweka kwenye jokofu linalotumika kuhifadhia jeneza lenye maiti wakati wa kusafirisha. Akitoa taarifa hiyo kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga Blasius Chatanda amesema Simon Pasian
READ MOREAlhamisi 14 Januari 2021, Mbunge wa jimbo la Segerea *Mh. Bonnah Ladislaus Kamoli (MB)* amefanya ziara ya kikazi katika kata za Kinyerezi, Bonyokwa, Kisukuru na Segerea. Katika ziara hii *Mh. Bonnah* aliongozana na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala *Ndugu Jumanne Shauri* pamona na wahandisi wa manispaa ya Ilala ambao ni wakuu wa Idara za TARURA
READ MORESTATE HOUSE ZANZIBAR OFFICE OF THE PRESS SECRETARY PRESS RELEASE Chato 14.01.2021 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli amewahakikishia wananchi wa Zanzibar pamoja na viongozi wake kwamba ataendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuhakikisha umoja na maelewano yaliopo yanaendelezwa sambamba na kuiimarisha Serikali ya Umoja wa Kaitaifa ili
READ MORE