• LIGI KUU TANZANIA BARA KUPIGWA TENA LEO0

    Ligi kuu tanzania bara inatarajia kuendelea leo kwa michezo miwili itakayopigwa katika viwanja viwili tofauti Waoka mikate wa jiji la Dar es salaam Azam fc wanataraji kuingia uwanjani kumenyana dhidi ya wajelajela Tanzania Prisons, mchezo ambao utapigwa katika uwanja wa Azam Complex Chamazi nje kidogo na jiji hilo mechi itaanza majira ya saa moja usiku

    READ MORE
  • Serikali yaanza kutumia Ndege kudhibiti nzige Wilayani Loliondo

    Serikali yaanza kutumia Ndege kudhibiti nzige Wilayani Loliondo0

    Na Barnabas kisengi loliondoFebruary  21 2021 Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda leo ametembelea eneo la Longido ambayo yamevamiwa na nzige  na kuwa kuanzia kesho ndege maalum itafanya kazi kupulizia viuatilifu kuua nzige hao. Prof. Mkenda amesema wananchi wasiwe na hofu nzige wote watadhibitiwa kupitia wataalam wa Wizara ya Kilimo waliopo kwenye maeneo yote yenye

    READ MORE
  • Watumiaji wa mitandao ya kijamii waonywa kutokutumia lugha za kuudhi/matusi na kutokusambaza taarifa za uongo

    Watumiaji wa mitandao ya kijamii waonywa kutokutumia lugha za kuudhi/matusi na kutokusambaza taarifa za uongo0

    Na Barnabas kisengi  ArushaFebruary  21 201 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa ameonya watumiaji wa mitandao ya kijamii kinyume na Kanuni ya Maudhui Mtandaoni za 2018 ambazo zinawazuia watumiaji wa mitandao hiyo kutokutumia lugha za kuudhi/matusi na kutokusambaza taarifa za uongo au za upotoshaji. Waziri Bashungwa amesema hayo leo jijini Arusha

    READ MORE
Translate »