• RC KUNENGE AWATAKA VIONGOZI NGAZI YA MITAA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO IPASAVYO

    RC KUNENGE AWATAKA VIONGOZI NGAZI YA MITAA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO IPASAVYO0

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amewataka Viongozi ngazi Mitaa kuhakikisha wanashughulikia ipasavyo kero na changamoto mbalimbali kwenye mitaa yao na kuhakikisha wanatoa taarifa mapema pale wanapobaini Jambo lipo *juu ya uwezo wao* ili liwezekushughulikiwa na ngazi za juu.  RC Kunenge amesema hayo wakati wa kikao chake na Watendaji na Wenyeviti

    READ MORE
  • Mwalu: Vijana msibweteke kusubiri ajira za serikali.

    Mwalu: Vijana msibweteke kusubiri ajira za serikali.0

    February  10 2021 Habari picha: Vijana msibweteke kusubiri ajira za serikali pindi mnapo maliza masomo kuna ujuzi wa fani mbalimbali jitokezeni kujifunza fani mbalimbali ili uweze kujiajiri na kuwaajiri wengine ili kuweza kupata kipato na kujikwimu kimaisha na kuacha kuwa tegemezi kwa familia na serikali katika kuelekea Tanzania ya viwanda ni kauli ya fundi ujenzi

    READ MORE
  • SUNGAMILE WALILIA MNARA WA MAWASILIANO

    SUNGAMILE WALILIA MNARA WA MAWASILIANO0

    Na Barnabas kisengi February 10  2021 Baadhi ya wananchi katika  kijiji cha Sungamile  Halmashauri ya Msalala  Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wameiomba serikali kuwasogezea huduma ya Mawasiliano hususan mnara katika kijiji hicho. Wakizungumza na Jfive one line blog  kijijini  hapo baadhi ya wananchi walisema mawasiliano ya simu yamekuwa ya kusuasua katika kijiji hicho hali ambayo husababisha kupanda

    READ MORE
Translate »