- Biashara, Habari, Kitaifa
- November 10, 2021
Tanzania imekutana na Kampuni ya CMA CGM inayojishughulisha na masuala ya usafirishajiwa mazigo yenye Makao Makuu yake Dubai ikiwakilishwa na Mkurugenzi wa Biashara wakampuni hiyo kwa upande wa Afrika Gulliaume Adam. Gulliaume ametaka kujua kuhusumaendeleo ya sekta ya madini na kueleza nia ya kampuni hiyo kusafirisha madini kutokaTanzania.Akizungumza katika kikao hicho, Mkurugenzi wa Ukaguzi na
READ MORE- Biashara, Habari, Kitaifa
- November 10, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela amewataka watanzania kupenda bidhaa zinazotengenezwa ndani ya nchi ikiwa ni pamoja na bidhaa zinazotengenezwa kwenye viwanda vilivyopo hapa nchini kwani kwa kufanya hivyo licha ya kuendeleza na kudumisha utamaduni wa kitanzani lakini pia tutakuza uchumi wa nchi.Martine Shigela ametoa kauli hiyo alipotembelea kiwanda cha nguo cha 21st Century
READ MOREMtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Dkt. Musa Budebaameishawishi Slovakia kuwekeza Tanzania kwenye uchimbaji au ununuzi wa Madini yaViwandani yanayotumika katika kutengeneza vifaa vya teknolojia mbalimbali yakiwemomagari.Dkt. Budeba amemweleza Mkurugenzi wa Uchumi na Uwekezaji wa Kampuni ya Sarioinayomilikiwa na Serikali ya nchi hiyo Bw. Egon Zorad, kuhusu uwepo madini
READ MORE