Uongozi wa wenyeulemavu umemuomba mkuu wa mkoa kusitisha BODABODA kuingia mjini.

Uongozi wa wenyeulemavu umemuomba mkuu wa mkoa kusitisha BODABODA kuingia mjini.

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam *Mhe. Amos Makalla* amemwagiza *Mkuu wa Wilaya ya Ilala na Mkurugenzi wa Jiji* la Ilala kushirikiana Na *Uongozi wa Chama Cha walemavu* mkoa wa Dar es salaam kuwapatia *eneo la Karume* kufanya biashara zao baada ya kupisha eneo la *Njia Za wapita kwa miguu.* Mkuu wa Mkoa akiongea

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam *Mhe. Amos Makalla* amemwagiza *Mkuu wa Wilaya ya Ilala na Mkurugenzi wa Jiji* la Ilala kushirikiana Na *Uongozi wa Chama Cha walemavu* mkoa wa Dar es salaam kuwapatia *eneo la Karume* kufanya biashara zao baada ya kupisha eneo la *Njia Za wapita kwa miguu.*


Mkuu wa Mkoa akiongea Na walemavu hao aliwaambia kuwa *kila alipofanya mazungumzo Na mkuu wa Wilaya alimuhakikishia kuwa suala la walemavu alikuwa analishughulikia vizuri* Na bahati mbaya kabla hawajafikia muafaka baadhi ya meza zilipotea usiku wa kuamkia jana

Kufuatia tukio hilo *Mkuu wa Mkoa alikubali ombi la walemavu Hao kupatiwa eneo lingine la biashara* japokuwa chama Cha walemavu wamepewa *vibanda 300 machinga complex* Na vibanda vingine eneo la karume.
.

Kuhusu *ombi la walemavu kuomba Mkuu wa mkoa kutengua uamuzi wake wa kuruhusu bodaboda kuingia mjini*, Mkuu wa mkoa aliwaeleza kuwa *ameunda kamati Na ameipa kamati miezi 3 ili kuanisha vituo vya Bodaboda* Na aliwasihi wawe watulivu Na *wawe tayari kufanya kazi kwa pamoja Na bodaboda katika mpango utakaokuwa umeratibiwa vizuri.*

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »