Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam *Mhe. Amos Makalla* amesema Katika *kuyalinda maeneo walipoondoka Machinga* Serikali itatumia *Sheria* kwa Wote *walioondoa Vibanda na kufanya Biashara Chini.*Akizungumza wakati wa *ziara ya kutembelea Maeneo mbalimbali walipohamia Machinga* kukagua changamoto ili Serikali izitatue, *RC Makalla* amewataka Wafanyabiashara waliokuwa *Kariakoo, Karume, Msimbazi* na Katika ya mji kufika *Machinga
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. HusseinAli Mwinyi amesema Serikali inavutia Wawekezaji wa aina zote kujakuwekeza katika miradi mbali mbali nchini, ili kusaidiana kukuzauchumi.Dk. Mwinyi amesema hayo katika ufunguzi na uwekaji wa jiwe lamsingi wa nyumba za maakazi ya kukodisha (apartments), haflailiofanyika Bweleo na Mbweni Jijini Zanzibar.Katika hafla hiyo Rais Dk.
READ MORERais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein AliMwinyi ameeleza haja kwa wawekezaji kuhakikisha miradi wanayoitekelezainawafaidisha wananchi wanaoishi karibu na miradi hiyo. Rais Dk. Mwinyi aliyasema hayo leo kwa nyakati tofauti wakati akiweka mawe ya msingikatika ujenzi wa Hoteli mpya ya kisasa ya Riu Jambo iliyopo Nungwi pamoja na Hoteli yaEmerald Zanzibar
READ MORE