Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Kilimanjaro WAZIRI wa Kilimo, Mhe Prof. Adolf Mkenda, amewataka wadau wa zao la ndizi nchini ikiwemo wawekezaji kuchangamkia frusa ya kuzalisha kwa wingi zao hilo ambalo kwa sasa limewekewa mkakati wa kuwa zao kubwa la kibiashara. Profesa Mkenda ameyasema hayo Leo tarehe 25 Septemba 2021 mjini Moshi mkoani Kilimanjaro wakati
READ MORENa Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma. Changamoto kubwa ya wakulima nchini ni pamoja na kutotumia mbinu za kilimo bora kama vile kutotumia mbegu bora, kutozingatia nafasi kati ya mmea na mmea, kutotumia mbolea kwa usahihi na matumizi hafifu ya viuatilifu. Katika kukabiliana na changamoto hiyo serikali imeanzisha kituo mahiri kitakachowasaidia wakulima kuongeza ufahamu wa kanuni
READ MORE- Biashara, Habari, Kitaifa
- September 22, 2021
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Ruvuma WAZIRI wa Kilimo, Mhe Prof. Adolf Mkenda ameagiza utaratibu wa ununuzi wa mahindi uzingatiwe huku akionyesha kuridhishwa na namna zoezi hilo linavyoendeleshwa katika mkoa wa Ruvuma ambao wananchi wameonyesha kuridhika. Hayo ameyasema leo tarehe 22 Septemba 2021 katika Hamashauri ya Wilaya ya Peramiho, Mbinga na Songea wakati akiwa katika
READ MORE