WAKULIMA MKOANI DODOMA WASHAURIWA KULIMA MAZAO YANAYOHIMILI UKAME
- Kilimo
- June 2, 2021
Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia Mwezi Juni ,2021 umeongezeka hadi asilimia 3.6% kutoka asilimia 3.3% kwa mwaka ulioishia mwezi Mei,2021. Akizungumza na waandishi wa Habari leo Julai 8,2021 jijini Dodoma Kaimu mkurugenzi wa sensa ya watu na takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu[NBS] Bi.Ruth Minja amesema kuongezeka kwa mfumuko
READ MORE06, Julai, 2021 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. MAJALIWA: HALMASHAURI ZA DODOMA ANZISHENI VITALU VYA MICHE YA ZABIBU WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza halmashauri zote za mkoa wa Dodoma zianzishe vitalu vya kuzalisha miche ya zabibu ili kuwawezesha wakulima kupata mbegu kwa uhakika. Pia, Waziri Mkuu amevitaka vyama vya ushirika wa kilimo cha zao la
READ MOREWaziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 6, 2021 amekutana na wadau wa zao la zabibu kujadili na kuweka mikakati ya pamoja ya kuliendeleza zao hilo ili liweze kuleta tija kwa wakulima, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
READ MOREWanafunzi wanaosoma chuo kikuu cha kilimo nchini China CAU wameiomba serikali ya mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na chuo hicho ambao wanatekeleza mradi wa pamoja wa kupunguza umasikini kwa wakulima wadogo kupitia kilimo cha mahindi kuangalia namna ya kuwapunguzia gharama wakulima hao ili kuendana na kipato chao Wanafunzi hao ambao wanasoma kwa njia ya mtandao
READ MORE