• Silaa, Polepole, Gwajima wahojiwa na kamati maadili ya wabunge CCM

    Silaa, Polepole, Gwajima wahojiwa na kamati maadili ya wabunge CCM0

    Na Barnabas Kisengi ,Dodoma  KAMATI ya maadili ya  Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) imekamilisha zoezi la kuwahoji  Wabunge wa chama hicho akiwemo Askofu Josephat Gwajima Mbunge wa Jimbo la Kawe Dar-es-salaam, Mbunge wa Jimbo la Ukonga Dar-es-salam Jerry Silaa na aliyekuwa katibu wa NEC Itifaki na uenezi Humphrey Polepole ambaye ni Mbunge wa kuteuliwa. Akizungumza na

    READ MORE
  • HALMASHAURI YA MPWAPWA YATENGA MILIONI 100 KUTATUA CHANGAMOTO SEKTA YA ELIMU

    HALMASHAURI YA MPWAPWA YATENGA MILIONI 100 KUTATUA CHANGAMOTO SEKTA YA ELIMU0

    Na Barnabas Kisengi-Mpwapwa  Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa imetenga kiasi cha fedha shilingi milioni 100 kutoka kwenye makusanyo ya mapato ya ndani na kuzielekeza fedha hizo kwenda kutatua changamoto katika sekta ya elimu wilayani hapo.  Kauli imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halimashauri ya Mpwapwa Bi Mwanahamisi Ally wakati akizungumzia vipaombele vya kazi za miradi ya maendeleo

    READ MORE
  • “SAFARI ZA RAIS SAMIA ZINALENGA  KUIMARISHA MAHUSIANO YA KIMATAIFA” KENANI KIHONGOSI

    “SAFARI ZA RAIS SAMIA ZINALENGA KUIMARISHA MAHUSIANO YA KIMATAIFA” KENANI KIHONGOSI0

    Na Barnabasi Kisengi, Dodoma JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UCCM) kimeeleza kuwa safari anazofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan zinalenga kuimarisha mahusiano ya kimataifa na si vinginevyo.Hatua hii imekuja wakati ambapo Rais Samia tayari  amewasili nchini Zambia kuhudhiria kuapishwa kwa Rais Mteule wa nchi hiyo Hakainde Hichilema

    READ MORE
Translate »