Furaha ya waigizaji wa Huba safari ya Dubai.
- Habari, Kitaifa, Sanaa na Burudani
- February 21, 2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uongozi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa kushirikiana pamoja na wamiliki wa Filamu ya VUTA N’KUVUTE kwa kuipa sifa Zanzibar katika ngazi ya kimataifa kupitia tasnia ya uwigizaji wa filamu. Rais Dk. Mwinyi alisema hayo kupitia hotuba yake
READ MOREWaziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa amewataka wasanii wa Tanzania kutumia muda wao vizuri na kuachana na malumbano, ili kupata muda wa kutengeneza kazi zenye ubora na mvuto kwa watazamaji na wasikilizaji ambazo zitawanufaisha. Mhe. Bashungwa ametoa kauli hiyo leo Disemba 2, 2021 jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza katika hafla fupi
READ MORE