• WAZIRI MKUU: RCs, DCs NENDENI MKAGUE MASOKO, MADUKA KUPATA BEI HALISI ZA BIDHAA

    WAZIRI MKUU: RCs, DCs NENDENI MKAGUE MASOKO, MADUKA KUPATA BEI HALISI ZA BIDHAA0

    *Awataka pia wahamasishe wananchi kuhusu Sensa ya Makazi na Watu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wafanye ziara kwenye masoko na maduka ili kupata hali halisi ya bei za bidhaa na wachukue hatua kudhibiti upandaji holela wa bei hizo.  Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo leo (Ijumaa, Aprili 22, 2022)

    READ MORE
  • MAJALIWA – TUTASIMAMIA KIKAMILIFU UTEKEKEZAJI WA BAJETI

    MAJALIWA – TUTASIMAMIA KIKAMILIFU UTEKEKEZAJI WA BAJETI0

      WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya usimamizi wa miradi pamoja na ufuatiliaji wa karibu wa utekelezaji wa bajeti yake ili rasilimali zilizopo ziweze kuwa na tija inayoendana na thamani ya fedha za walipa kodi. “vipaumbele muhimu vitaendelea kuzingatiwa ikiwa ni pamoja na utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya utoaji wa huduma kwa wananchi

    READ MORE
  • MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPUNGUA HADI ASILIMIA 4.0% KUTOKA ASILIMIA 4.2%.

    MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPUNGUA HADI ASILIMIA 4.0% KUTOKA ASILIMIA 4.2%.0

    MFUMUKO  wa bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Januari ,2022  umepungua hadi asilimia 4.0% kutoka asilimia 4.2% kwa mwaka ulioishia mwezi Disemba 2021 . Hayo yamebainishwa leo Februari 8,2022 jijini Dodoma na Kaimu Mkurugenzi Sensa ya watu na takwimu za jamii  kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bi.Ruth Minja wakati akizungumza na waandishi wa

    READ MORE
  • Dkt. Mwinyi amewataka wananchi kuwajibika ipasavyo katika shughuli wanazofanya .

    Dkt. Mwinyi amewataka wananchi kuwajibika ipasavyo katika shughuli wanazofanya .0

                                   STATE HOUSE ZANZIBAR                        OFFICE OF THE PRESS SECRETARY                                           PRESS RELEASE Zanzibar                                                                        January 14, 2022 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kuwajibika ipasavyo katika shughuli wanazofanya ili Taifa liweze kufanikisha dhamira ya  kupata maendeleo. Alhaj Dk. Mwinyi amesema hayo katika salamu alizotoa kwa

    READ MORE
  • Makamu wa Rais Mhe. Abdulla amezungumza na mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali.

    Makamu wa Rais Mhe. Abdulla amezungumza na mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali.0

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amewahakikishia mabalozi walioteuliwa na kupangiwa kazi katika mataifa mbali mbali kuwa serikali ya Mapinduzi Zanzibar itaendelea kutoa ushirikiano katika kufanikisha vyema majukumu yao. Mhe. Hemed alieleza hayo wakati mabalozi hao walipofika Ofisini  kwake Vuga kumuaga  kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi zao

    READ MORE
  • HABARI PICHA WAZIRI SIMBACHAWENE NA BALOZI DKT. WRIGHT.

    HABARI PICHA WAZIRI SIMBACHAWENE NA BALOZI DKT. WRIGHT.0

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Donald Wright kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Marekani. Kikao hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,

    READ MORE
Translate »