Leo Novemba 9, 2021 Kampuni inayoongeza kwa mapinduzi na utoaji wa huduma za kidigitali hapa Nchini Tigo Tanzania kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya MILEMBE INSURANCE wamezindua Huduma mpya ya BIMA ya vyombo vya usafiri ijulikanayo kama TIGO MOTOR INSURANCE , huduma itakayowawezesha wateja wa Tigo Pesa kukatia vyombo vyao vya Usafiri Bima na
READ MORE. Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam imeibuka mshindi katika utoaji wa Huduma Bora za Afya Kati ya Halmashauri tano za Mkoa wa Dar es salaam ambapo Hospital ya Rufaa ya Amana imeibuka mshindi Kati ya Hospital tatu za Rufaa ambazo Ni Temeke na Mwananyamala. Baadhi ya vipengele Vilivyopelekea Ilala kuibuka mshindi ni eneo
READ MOREWaziri wa afya Maendeleo ya jamii jinsia wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amezitaka Hospital zote nchini kuzingatia Mikataba ya utolewaji wa Huduma bora kwa wateja. Dkt.Gwajima aliyasema hayo wakati wa mafunzo ya kwanza ya huduma Bora kwa wateja Yaliyofanyika Mkoani Morogoro chini ya uongozi wa Hospital ya Taifa ya Muhimbili. Alisema mikataba ya utoaji
READ MORE