HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM NA HOSPITAL YA RUFAA AMANA WAIBUKA KINARA KWA UTOAJI WA HUDUMA BORA ZA AFYA

HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM NA HOSPITAL YA RUFAA AMANA WAIBUKA KINARA KWA UTOAJI WA HUDUMA BORA ZA AFYA

. Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam imeibuka mshindi katika utoaji wa Huduma Bora za Afya Kati ya Halmashauri tano za Mkoa wa Dar es salaam ambapo Hospital ya Rufaa ya Amana imeibuka mshindi Kati ya Hospital tatu za Rufaa ambazo Ni Temeke na Mwananyamala. Baadhi ya vipengele Vilivyopelekea Ilala kuibuka mshindi ni eneo

.

Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam imeibuka mshindi katika utoaji wa Huduma Bora za Afya Kati ya Halmashauri tano za Mkoa wa Dar es salaam ambapo Hospital ya Rufaa ya Amana imeibuka mshindi Kati ya Hospital tatu za Rufaa ambazo Ni Temeke na Mwananyamala.

Baadhi ya vipengele Vilivyopelekea Ilala kuibuka mshindi ni eneo la utoaji wa Huduma Bora za mama na mtoto, utawala na fedha, upatikanaji wa dawa, Vifaa tiba, mahabara, lishe, Usafi na Mazingira, Ustawi wa jamii na vinginevyo.

Akizungumza wakati wa mkutano wa kujadili Hali ya utoaji wa Huduma za Afya na kuweka mikakati ya kuboresha huduma hizo kwenye Hospital Za rufaa za Mkoa, vituo vya afya na zahanati, Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe.Ludigija Ndatwa Ng’wilabuzu ametoa wito kwa watoa huduma wa Afya kuendelea kuwa wabunifu katika kutoa huduma Bora kwa Wananchi.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »