• Mkemia Mkuu ahimiza matumizi salama ya kemikali

    Mkemia Mkuu ahimiza matumizi salama ya kemikali0

    Na Fatma Salum-GCLA Mkemia Mkuu wa Serikali Dkt. Fidelice Mafumiko amewahimiza wajasiriamali kuzingatia matumizi salama ya kemikali wanazotumia katika uzalishaji wa bidhaa zao ili kulinda afya za binadamu na mazingira. Dkt. Mafumiko ameyasema hayo jana jijini Dar es Salaam alipotembelea maonesho ya wanawake wajasiriamali yaliyoandaliwa na Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) ambayo yanafanyika kwenye

    READ MORE
  • MAJALIWA: SERIKALI IMETENGA SH. BILIONI 170 UJENZI MKONGO WA TAIFA

    MAJALIWA: SERIKALI IMETENGA SH. BILIONI 170 UJENZI MKONGO WA TAIFA0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imetenga shilingi bilioni 170 kwa ajili ya ujenzi wa Mkongo wa Taifa katika mwaka wa fedha 2021/2022. “Lengo letu ni kuwawezesha watoa huduma za mawasiliano kutumia miundombinu hii kuboresha huduma za mawasiliano nchini na kurahisisha ufikishwaji wa intaneti kwenye ofisi mbalimbali

    READ MORE
  • DIT, POSTA ZAINGIA MAKUBALIANO

    DIT, POSTA ZAINGIA MAKUBALIANO0

    TAASISI ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) na Shirika la Posta Tanzania (TPC) wameingia mkataba wa ushirikiano lengo ikiwa ni kutatua changamoto katika jamii kupitia wataalam wa Taasisi hizo. Akizungumza kwenye hafla ya kusaini mkataba huo iliyofanyika  jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof. Preksedis Ndomba amesema makubaliano hayo

    READ MORE
Translate »