RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Wachimbaji wa Madini wametakiwa kutumia masoko ya madiniyaliyoanzishwa kote nchini katika kuuza madini wanayozalishakatika migodi yao.Mwito huo umetolewa na Waziri wa Madini Mhe Doto Biteko leotarehe 8 Mei 2021 wakati akifungua mafunzo kwa wachimbajiwadogo wa Madini Mkoa wa Geita.Waziri Biteko amewataka wachimbaji hao kujiepusha na utoroshajiwa madini, sambamba na kutoa taarifa pale wanapoona kunamchimbaji anakwenda
READ MOREImeelezwa kuwa kuanzishwa kwa kiwanda cha Kusafisha Madinicha Mkoani Geita kitaongeza na kuchangamsha uchumi wa mkoana Taifa kwa ujumla wake.Waziri wa Madini Mhe Doto Biteko jana tarehe 8 Mei 2021 wakatiakiweka Jiwe la Msingi katika kiwanda cha kusafisha madini chaGGR akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Geita.Waziri Biteko amesema kuwa kiwanda hicho cha kisasa na
READ MOREMATUKIO ya ukatili wa kingono yameripotiwa kuongezeka wilayani Kilombero mkoani Morogoro ambapo kwa kipindi cha miezi mitatu kati ya Januari na Machi mwaka mwaka huu, jumla ya watoto 57 wamefanyiwa ukatili tofauti ikiwemo ulawiti, ubakaji na mimba za utotoni. Hayo yalibainishwa jana na ofisa ustawi wa jamii wa halmashauri ya Mlimba,
READ MORETaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania [TAKUKURU]Wilaya ya Mpwapwa imefanikiwa kurejesha kiasi cha Tsh.milioni mbili ,laki nne na sabini na tano elfu [. 2,475,000/= ] kwa mzee mstaafu Benedict Mtihani alizodhurumiwa kutoka kwenye fedha zake za kiinua mgongo na kijana mmoja aliyekuwa akijihusisha na ukopeshaji wilayani humo bila kufuata utaratibu. Akizungumza na Jfivetv Mkuu wa TAKUKURU wilaya ya
READ MORE