Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW Na Mwandishi Wetu, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeitaka jamii ya kitanzania kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia katika maeneo yao. Hayo yamebainika leo jijini Dodoma katika kikao kilichokutanisha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma
READ MOREKATIBU Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Kenani Kihongosi amewataka Vijana kutumia mitandao ya kijami kwa kupata kipato na kupashana habari zenye tija na si kudhalilisha utu wa viongozi Chama na Taifa.Ameyasema hayo leo Jijini hapa wakati akizungumza na Vijana wa umoja huo kwenye hafla fupi ya kukaribishwa kwake Makao Makuu
READ MOREMwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha Tanzania Labour Party TLP Eng. Aivan Maganza amekitaka chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema kuachana na mpango wa kudai katiba mpya. Eng. Maganza amesema hayo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mako makuu wa chama hicho jijini Dar es salaam.
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 25 Juni, 2021 amezungumza na viongozi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania na kueleza kuwa Taaisisi za Dini nchini ni muhimu kwa kuwa zina mchango mkubwa katika kudumisha amani, kustawisha maisha ya wananchi na kupambana na umasikini. Mhe. Rais Samia amewasihi Watanzania
READ MOREWATUMISHI wa Afya wa kada mbalimbali wametakiwa kuwa mabalozi wazuri katika utoaji huduma za afya kwakufuata misingi ya haki za binadamu na utawala bora katika utoaji wa huduma za afya ili kuweza kuondoa kero na malalamiko miongoni mwa jamii katika sekta ya afya. Kauli hiyo imetolewa leo Jijini Dodoma na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma
READ MORE