RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali imeazimia kutoa kipaumbele na kusimamia kikamilifu upatikanaji wa ajira kwa vijana wa Kijiji cha Dundua katika miradi mbali mbali itakayoanzishwa katika eneo lililotengwa la ujenzi wa Bandari ya Mafuta na Gesi Mangapwani. Alhaj Dk. Mwinyi ametoa ahadi hiyo katika
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewashukuru Wananchi wa Mkoa Kaskazini Unguja na Makundi Mbalimbali kwa kuitikia wito na kujumuika nae katika futari Maalum aliyowaandalia katika Mkoa huo. Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, aliendelea na utaratibu wake wa kuandaa futari kwa ajili ya wananchi wa Mikoa mitano
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasisitiza waislam nchini watumie Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuibariki Tainzania, viongozi na wananchi wake wadumishe amani na mshikamano. Ameyasema hayo leo (Jumapili, Mei 2, 2021) katika Fainali za Mashindano ya 29 ya Kimataifa ya Qur’an yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Mashindano
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na mamia ya waislamu katika Iftari aliyoiandaa kwa ajili yao na kufanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Conversion centre, Jijini Dodoma, Aprili 29, 2021 Katika hafla hiyo viongozi mbali mbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM) walihudhuria, akiwemo Rais mstaafu
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa inapendeza kuona Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sasa inaungana na Mataifa mengine duniani katika kukuza na kuimarisha mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qurani. Alhaj Dk. Mwinyi ameyasema hayo leo katika hafla ya mashindano ya 21 ya Qurani ya juu
READ MOREMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla, amewataka Wazee na Walimu wa Madrasa Nchini, kuwaendeleza kielimu katika fani mbali mbali za dini na dunia, Wanafunzi waliohifadhi Qurani, ili kupata radhi zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu. Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla ameyasema hayo katika hafla ya Mashindano Makuu ya kuhifadhi Quran ya Kitaifa
READ MORE