
- Dini, Habari, Kitaifa
- June 23, 2023
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea kusimamia Umoja wa Wazanzibari na kulinda haki za Wananchi wake ili wanufaike na matunda ya Serikali yao. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla ameeleza hayo wakati akiwasalimia Waumini wa Masjid Safinatu Najaa Mtoni Kidatu alipojumuika nao katika Ibada ya Sala ya Ijumaa. Amesema Serikali
READ MORE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi leo amejumuika na waumini wa dini ya kiislamu katika ibada ya Swala ya Ijumaa Msikiti wa Miembeni uliopo Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
READ MORE
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na waumini wa Masjid Riyaadh Amani katika Ibada ya Sala ya Ijumaa.Akiwasalimia waumini hao Alhajj Hemed amewataka wananchi kushirikiana na Serikali katika kupinga vitendo viovu nchini ambavyo vinamchukiza Allah (S.W) na kuondoa taswira ya Zanzibar. Amesema zipo njia nyingi zinazopelekea kuongezeka kwa vitendo hivyo
READ MORE