Na Mwandishi Wetu-Chamwino RAIS SAMIA SULUH HASSAN ametoa Tsh. Milioni 50 kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chamwino Ikulu, kama ahadi ya mchango wake kwenye ujenzi unaoendelea wa Kanisa hilo.Akikabidhi Hati ya malipo hayo yaliyofanyika kwa njia ya Benki Mkuu wa mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ambae alimwakilisha RAIS SAMIA SULUH
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kuendelea kudumisha amani iliopo ili Serikali iweze kufikia malengo ya kuwaletea maendeleo. Alhaj Dk. Mwinyi amesema hayo katika salamu alizotoa kwa waumin walioshiriki Ibada ya sala ya ijumaa iliofanyika Masjid Lutta, Kiembesamaki Mkoa Mjini Magharibi. Amesema hivi sasa nchi
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi, amesema serikali itatoa tamko kuifanya siku ya mwaka mpya wa kiislamu kuwa ya mapumziko. Aliyasema hayo jana katika kongamano la maadhimisho ya mwaka mpya wa kiislamu 1444, lililofanyika msikiti wa Jamiu Zinjibar, Mazizini. Aidha alisema, maadhimisho hayo yatafanyika kwa mzunguko kati ya Unguja
READ MOREMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa. Dkt. Philip Mpango akishiriki ibada ya misa takatifu katika Kanisa kuu katoliki la Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili Jimbo la Mpanda mkoani Katavi leo tarehe 24 Julai 2022. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa. Dkt. Philip Mpango akizungumza na waumini
READ MORE