• WADAU WAHIMIZWA  KUJITOKEZA KUSAIDIA WATOTO WALIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

    WADAU WAHIMIZWA KUJITOKEZA KUSAIDIA WATOTO WALIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU0

    Na Mwandishi Wetu Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto anayeshughulikia masuala ya Maendeleo ya Jamii, Mwanaidi Ali Khamis ametoa wito kwa jamii kushirikiana katika malezi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu. Mhe. Mwanaidi akizungumza na watoto na walezi wa kijiji cha Matumani alipokitembelea leo jijini Dodoma amesema wadau wote

    READ MORE
  • WAKAZI WA KAGERA WAHIMIZWA KUENDELEZA UTAMADUNI NA MICHEZO YA ASILI

    WAKAZI WA KAGERA WAHIMIZWA KUENDELEZA UTAMADUNI NA MICHEZO YA ASILI0

    NA NYEMO MALECELA – KAGERA JAMII mkoani Kagera imetakiwa kuendeleza michezo ya asili ikiwamo majigambo ili kuwezesha kizazi cha sasa kufahamu asili na tamaduni zao. Akizungumza katika tamasha la majigambo maarufu kama ‘OKWEBUGA’ lililoandaliwa na serikali ya Mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa michezo, Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Profesa Faustine

    READ MORE
  • WAANDISHI WA HABARI WAMETAKIWA KUWA WAZALENDO KWA NCHI YAO NA KUFANYA KAZI KWA WELEDI.

    WAANDISHI WA HABARI WAMETAKIWA KUWA WAZALENDO KWA NCHI YAO NA KUFANYA KAZI KWA WELEDI.0

    IKIWA leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari  Duniani baadhi ya Wadau  mbalimbali wa Habari wametoa maoni yao kuhusiana na siku hii huku wakitoa  pongezi kwa waandishi wa habari kutokana na kazi ambazo wamekuwa wakifanya katika  kuhabarisha Umma na kutoa wito  kuendelea kufanya kazi kwa weledi na kuwa wazalendo  kwa kutanguliza mbele maslahi 

    READ MORE
Translate »