Wakazi wa Msoga ,Bwiringu ,Ubena ,Mkange na Kiwangwa wameiomba Serikali kuwadhibiti Tembo wanaoendelea kusababisaha vifo kwa wananchi.

Wakazi wa Msoga ,Bwiringu ,Ubena ,Mkange na Kiwangwa wameiomba Serikali kuwadhibiti Tembo wanaoendelea kusababisaha vifo kwa wananchi.

Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete ameelezea hatua alizochukua baada ya Madiwani katika kata tano za halmshauri ya chalinze kuiomba serikali kuwatafutia ufunbuzi wa kuwadhibiti tembo waliovamia katika baadhi ya vijiji vyao na hivyo kusababisha hali ya wasiwasi kwa wakazi wao kutokana na watu kupoteza maisha kwa kukanyagwa na tembo. Ridhiwani amesema

Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete ameelezea hatua alizochukua baada ya Madiwani katika kata tano za halmshauri ya chalinze kuiomba serikali kuwatafutia ufunbuzi wa kuwadhibiti tembo waliovamia katika baadhi ya vijiji vyao na hivyo kusababisha hali ya wasiwasi kwa wakazi wao kutokana na watu kupoteza maisha kwa kukanyagwa na tembo.

Ridhiwani amesema hayo kwenye kikao cha baraza la Madiwani la halmashauri ya chalinze ya robo ya tatu mwaka wa fedha wa 2020/ 2021 baada ya madiwani wa kata za msoga ,bwiringu ,ubena ,mkange na kiwangwa kulalamikia kuvamiwa na tembo hao ambapo katika kata ya mkange tembo hao wameshauwa mtu mmoja.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »