Ña Angela Msimbira OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watuwenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako ameagiza Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kuhakikisha zinawatambua na kuendelea kutoa mikopo ya Vijana kupitia Mikopo ya asilimia kumi ili kuendeleza juhudi zilizoonyeshwa na wadau wa Maendeleo nchini.Amesema hayo Julai 27,2022 Jijini Dodoma
READ MORENa Barnabas Kisengi-Dodoma Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe amewataka wafanyabiashara nchini kuchangamkia fursa zilizopo ili kuweza kukuza sekta hiyo ambayo inatoa ajira na kuchangia pato la Taifa.Akizungumza katika mkutano mkuu wa mwaka wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA), baina ya sekta ya Umma na sekta binafsi uliofanyika jijini Dodoma.
READ MORENa Barnabas Kisengi, Dodoma Katibu mkuu Wizara ya Habari, mawasiliano na teknolojia ya Habari Jimmy Yonazi amewataka wafanyakazi wa sekta ya mawasiliano nchini kukuza maarifa na kuwa na uchumi shindani wa kidijitali ili kuwa kitovu cha watu kujifunza namna ya kutafuta fursa katika taasisi za kimataifa. Akizungumza leo jijini Dodoma katika kikao kazi cha uchambuzi
READ MOREHOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YASERIKALI KUHUSU MAKADIRIOYA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2022/23
READ MORE