WAZIRI KIGAHE AWATAKA WAFANYABIASHIARA KUZALISHA AJIRA NCHINI

WAZIRI KIGAHE AWATAKA WAFANYABIASHIARA KUZALISHA AJIRA NCHINI

Na Barnabas Kisengi-Dodoma Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe amewataka wafanyabiashara nchini kuchangamkia fursa zilizopo  ili kuweza kukuza sekta hiyo ambayo inatoa ajira na kuchangia pato la Taifa.Akizungumza katika mkutano mkuu wa mwaka wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA), baina ya sekta ya Umma na sekta binafsi uliofanyika  jijini Dodoma.

Na Barnabas Kisengi-Dodoma


Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe amewataka wafanyabiashara nchini kuchangamkia fursa zilizopo  ili kuweza kukuza sekta hiyo ambayo inatoa ajira na kuchangia pato la Taifa.
Akizungumza katika mkutano mkuu wa mwaka wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA), baina ya sekta ya Umma na sekta binafsi uliofanyika  jijini Dodoma.


 Kigahe  amewataka kuendelea kuibua changamoto mbalimbali zilizopo kupitia tafiti wanazozifanya ili kuweza kuboresha mazingira ya biashara hizo .

Kwa upande wake Rais wa wafanyabiashara, viwanda na kilimo Tanzania, Paul Koyi, amesema watatumia fursa waliyopewa na Rais Samia katika kupanua wigo wa biashara kwa kuhakikisha zinafanyika kimataifa, huku akisisitiza uaminifu kama nguzo kuu ya biashara.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »