• Rais Samia Suluhu Hassan, amesema wakati mwingine dini na siasa vinakinzana.

    Rais Samia Suluhu Hassan, amesema wakati mwingine dini na siasa vinakinzana.0

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa wakati mwingine dini na siasa vinaendana lakini pia wakati mwingine ni vitu vivyokinzana ambapo amesisitiza kwamba vyote hivyo vinatakiwa kutazamwa kwa umakini. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Julai 8, 2021, mkoani Morogoro aliposhiriki Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT),

    READ MORE
  • SOMO LA LEO: Yeremia 29:11.

    SOMO LA LEO: Yeremia 29:11.0

    Kuna siku nilipeleka koti langu la suti kwa fundi cherehani anirekebishie mfuko ulikuwa umefumuka.Mara jamaa akageuza koti kwa ndani na kisha akaanza kulifumua fumua badala ya kuushona mfuko wenyewe!!!Nikahamaki nikamwambia, “Mzee unapaswa kushona, sio kufumua halafu nina haraka ujue. Mbona ni kazi rahisi tu ya faster.” Lakini yeye alijibu tu, “NAJUA”. Hilo jibu lilinigusa na sikuweza

    READ MORE
  • Wachungaji wapewa maelekezo kuhusu Corona.

    Wachungaji wapewa maelekezo kuhusu Corona.0

    ASKOFU wa Kanisa la Calvary Assemblies of God (CAG) jimbo la Kagera, Damian Rwabutikula amewataka wachungaji mkoani humo kuzingatia masharti na maelekezo ya wataalamu wa afya katika utendaji wao wa kutoa huduma za kichungaji kwa waumi wao jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa Corona. Askofu Rwabutikula ametoa wito huo katika ibada ya kuwasimika wachungaji wa

    READ MORE
Translate »