• MAJALIWA: SERIKALI INATHAMINI MCHANGO WA SEKTA BINAFSI NA TAASISI ZA DINI

    MAJALIWA: SERIKALI INATHAMINI MCHANGO WA SEKTA BINAFSI NA TAASISI ZA DINI0

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inathamini mchango wa Sekta Binafsi na Taasisi za Dini likiwemo kanisa Katoliki katika kuimarisha upatikanaji wa huduma mbalimbali za kijamii nchini.  Ametoa kauli hiyo leo (Jumapili Julai 4, 2021) alipomuwakilisha Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika ibada ya kuwekwa wakafu na kusimikwa kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bunda,

    READ MORE
  • WANANCHI ZANZIBAR WATAKIWA KUSIMAMIA HAKI NA UWADILIFU

    WANANCHI ZANZIBAR WATAKIWA KUSIMAMIA HAKI NA UWADILIFU0

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amewataka wananchi kuendelea kumuunga mkono Rais Dk.Hussein Mwinyi katika kusimamia haki za watu wanyonge kwa kusimamia uwadilifu. Mhe. Hemed alieleza hayo wakati akiwasalimia waumini na wakaazi wa Chuini mara baada ya kutekeleza ibada ya sala ya Ijumaa katika Masjid Fatiima chuwini Wilaya ya Magharibi”A”Unguja

    READ MORE
  • WAISLAMU WATAKIWA KUZISAIDIA TAASISI ZA KIDINI KUTATUA CHANGAMOTO

    WAISLAMU WATAKIWA KUZISAIDIA TAASISI ZA KIDINI KUTATUA CHANGAMOTO0

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haji Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waislamu Nchini kujitolea kwa hali na mali kuzisaidia taasisi za dini ya Uislamu ili kutatua changamoto zinazozikabili taasisi tofauti. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla alieleza hayo wakati akimuakilisha Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi katika kilele

    READ MORE
Translate »